• DISCOVER A WHOLE NEW WORLD OF FUN.

Important Notice

It is due to several grievances received from General Public about Vulgarity in Water Park among Ladies, Gents & Teenagers.
Funcity Management has decided to operate Water Park for Ladies and teenagers only on Tuesday & Wednesday of every week. Gents are strictly not allowed on these ladies dedicated days.
All ladies and teenger girls are not allowed to enter in the swimmimg pools except their dedicated days.

We appreaciate your cooperation in making funcity safe for all.
Thanks & Regards,
Funcity Management

Taarifa Muhimu

Kutokana na malalamiko tuliyo yapokea kutoka kwa jamii kuhusu uvunjifu wa maadili katika kivutio cha Maji kwa Wanawake, Wanaume na Vijana. Usimamizi wa Funcity umeamua kufanya maamuzi ya kuruhusu wanawake na vijana kuingia kwenye kivutio cha maji siku ya jumanne na jumatano ya kila wiki pekee. Wanaume hawataruhusiwa kabisa kuingia kwenye maji siku hizi zilizo tengwa kwa wanawake. Wanawake wote na wasichana hawataruhusiwa kuingia katika maji isipokuwa siku zilizotengwa kwao tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu katika kuifanya Funcity iwe mahali salama wakati wote.
Asanteni,
Usimamizi wa Funcity